Bunge La Kaunti ya Nyandarua Utoaji Wa Bima Ya Matibabu

Bunge La Kaunti ya Nyandarua Utoaji Wa Bima Ya Matibabu

Bunge La Kaunti ya Nyandarua inakubali zabuni kutoka kwa wasambazaji waliofuzu kwa utoaji wa huduma za bima ya matibabu kwa wawakilishi wa bunge la Kaunti ya Nyandarua kama ifuatavyo.

NCA/T/01/2018-2019 Utoaji wa Bima ya Matibabu , GPA na Maisha kwa Wawakilishi wa Bunge la Kaunti ya Nyandarua.

KIKUNDI CHA USTAHIFU: Kampuni

Wazabuni wenye nia wanaweza kupata hati za maelezo ya tenda kwenye tovuti http://assembly.nyandarua.go.ke  bila malipo

Karani

Bunge la Kaunti ya Nyandarua

S.L.P 720-20303, Ol Kalou.

Ili iweze kupokelewa kabla au siku ya Jumatano tarehe 4 Oktoba, 2018 saa tano asubuhi.

Zabuni zitafunguliwa papo hapo na kasha kwenye afisi za manunuzi mbele ya wazabuni au wawakilishi waliochanguliwa.

ILANI: Tenda zitakazochelewa hazitakubaliwa. Ili kupata maelezo zaidi waweza rejelea gazeti la Daily Nation chapisho la Septemba 20.

  •  
  •  
  •  
  •  
  •  
  •  
,

Post navigation

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.